Stay Fresh “Its a fight with Corona” – Mukuru All Stars – Lyrics

Spread the love
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  

CHORUS  – ELEANOR
Staaaaaaaaaaaay
Stay fresh
It’s a fight with Corona
Ni real hii corona (Its real this Corona)

VERSE 1 – LOVE-E MGENGE

Pamoja tunasimama hakuna kuogopa tena, (Together we stand we won’t fear again)
Corona inatutisha imefanya dunia jela,  (Although corona is making the world lock down)
Bad social media twapotezana masela, (Bad social media is misleading )
Its time tuelimishane on how we can prevent that, (Its time we educate each other on how to prevent that)
Good hygene /mkono kuosha kwa saana (Good hygiene, let’s wash our hands)
Hii ni janga la dunia , (Its world pandemic)
Tuzuie jumuia, (Let’s avoid crowds)
Kwa usafiri sanitize wacha tuokoe dunia,(While moving around let’s sanitize to save the world)
Love e unaongea na nani ..naongea na wewe nani ,(Love-E who am I talking to? Am to talking to you)
Tu share the right infomation tuokoleane nani(let’s share the right information let’s save each other)
Ukiona una dalili homa imezidi saana na joto jingi mwilini,(If you have the symptoms, coughing a lot and high fever)
Unashida ya kupumua na hujui shida ni nini,(You have difficulty breathing and you don’t what’s the problem)
Call emergency number upate kipimo kamili (Call emergency number to get the right attention)
Nakama imekuadhiri… sio mwisho wa dunia hio nazidi kuamini (If you are affected its not end of the world)
THERE IS LIFE AFTER CORONA HIO NAAMINI MIMI (I believe that)

CHORUS  – ELEANOR
Staaaaaaaaaaaay
Stay fresh
It’s a fight with Corona
Ni real hii corona (Its real this Corona)

Verse 2 -LEADAH
Hope and peace brother tutafika (we shall get there)
overcoming it ndio motisha ya maisha (Overcoming it is the moral of life)
we stand as one God over everything
usijudge anyone anywhere ishafika (its here)
peace we need it all
kwa wamama na wazee (For women and men)
vijana na watoto (youths and children)
hapa kwetu tunakazana (In the community we pushing on)
tena saana. (on and on)
hapa kwetu tunakazana (In the community we pushing on)
tena saana. (on and on)

CHORUS  – ELEANOR
Staaaaaaaaaaaay
Stay fresh
It’s a fight with Corona
Ni real hii corona (Its real this Corona)

VERSE 3 – NELMO 
Kila siku corona inaleta madhara we, (Everyday corona is causing challenges)
Hata ghetto youte hapati hiyo salary, (Even the ghetto youth can make an income)
Watoto wako home wanataka kitu kwa sahani,(Kids at home needs a meal)
Social life inadestroy we haffi unite again,(Social life its destroying let’s unite)
Support em family and help those in pain,(Support families and help those in pain)
Nakaa vipi? Hatua tatu? Na usafiri kwa matatu?(How shall I stay a meter away and means of transport its Matatu?)
Kushika pesa hatari na maji yako ghali,(Its dangerous touching money and even the water is expensive)
Jukumu langu mimi na wee kulinda hii jamii,(its our responsibility to take care of the society)
Nawa Mikono kwa maji na sabuni,(Wash your hands with soap and water)
Osha mikono tafafhali, (Please wash your hands)
Sekunde ishirini, (for 20 second)

BRIDGE – ELEANOR
Kuna matumaini yeeih eeih (There is hope)
Everybody be aware,
don’t you worry don’t be scared,
Kwa pamoja tutapambana, (Together we shall fight)
We shall overcome*2

CHORUS  – ELEANOR
Staaaaaaaaaaaay
Stay fresh
It’s a fight with Corona
Ni real hii corona (Its real this Corona)


Spread the love
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  

Comment here